Daraja
lililopo Mtaa wa Magomeni Mzimuni jijini
Dar es Salaam,likiwa limelika kwa maji ya mvua iliyonyesha jijini jana na
kusababisha baadhi ya maeneo ya jiji
kuathirika kwa mafuriko. Wakazi wa eneo hilo wamelalamikia wakandarasi
waliojenga darajja hilo kwa kujenga bila kufuata njia ya maji ambapo kila mvua
zinaponyesha maji hufuata njia zake na
kushindwa kupita katika tundu husika ambalo ni moja na huzidiwa.
Barabara inayounganisha daraja hilo ikiwa imelika kutokana na maji ya mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)




No comments:
Post a Comment