Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akisaini Kitabu cha
maombolezo ya msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa
pole. Marehemu Kahama anatarajia kuzikwa Alhamisi wiki hii katika Makaburi ya
Kinondoni. Kulia ni Mama Salma Kikwete.
Mke
wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, akisaini Kitabu cha
maombolezo ya msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa
pole. Marehemu Kahama anatarajia kuzikwa Alhamisi wiki hii katika Makaburi ya
Kinondoni. Kushoto ni Rais Mstaafu wa
awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete.
Waziri
Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba
wa Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia
nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Waziri
wa zamani wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, akiwafariji wanafamilia
wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu
Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole.
Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akimfariji mke wa Marehemu Balozi
Sir George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu
Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. Marehemu Kahama
anatarajia kuzikwa Alhamisi Wiki hii katika Makaburi ya Kinondoni. Kulia ni
Mama Salma Kikwete.
Waziri
wa zamani wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, akiwafariji wanafamilia
wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu
Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole.
Waziri
wa zamani wa Fedha, Bazil Mramba, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Balozi
Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar
es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole.
Waziri
Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akimfariji mke wa marehemu Balozi Sir
George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia
nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaa.
Mama Janeth Kahama, akiwa na huzuni wakati wa shughuli za
msiba huo.
Waziri
Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akimfariji mke wa marehemu Balozi Sir
George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia
nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa zamanai, Getrude Mongella, akizungumza jambo na mke wa marehemu, Balozi Sir
George Kahama, Mama Janeth Kahama, nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar
es Salaa, leo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza jambo n a Waziri wa
zamani wa Sheria na Katiba, Bakari Mwapachu, walipokutana katika msiba wa
marehemu Balozi Sir George Kahama Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza jambo na Salim Ahmed
Salim, walipokutana katika msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama Mikocheni
jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:
Post a Comment