Mpita njia akipita pembezoni mwa daraja la Tabata Matumbi, ambalo ukingo wake umelika
na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, hali inayotishia
kuanguka kwa ukuta ulio karibu na ukingo huo.
POLISI NGARA WAWAFIKIA WATOTO YATIMA KUPITIA VITUO VYA MALEZI
-
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera, limeendelea kuwafikia
wananchi na makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii kwa lengo la
kuimarisha ...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment