Nguzo ikiwa tayari imeoteshwa kuelekea ujenzi wa Barabara za juu (Fly Over) za Tazara jijini Dar es Salaam.
Ujenzi ukiendelea wa Barabara za juu eneo la Tazara ukiendelea ambapo tayari mafundi
wamekwishaotesha Nguzo kadhaa kama inavyoonekana pichani.


No comments:
Post a Comment