Wafanyabiashara ndogondogo almaarufu Machinga wakiwa wamening’inia nyuma ya gari la mafuta wakati
likiwa katika mwendo kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto katika Barabara ya Mandela jijini
Dar es Salaam, jambo ambalo ni
hatari kwa maisha yao.
Mfanyabiashara ndogondogo almaarufu Machinga akining’inia nyuma ya gari la mafuta wakati
likiwa katika mwendo , jambo ambalo ni
hatari kwa maisha yake. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)


No comments:
Post a Comment