Baadhi ya wakinamama wakiwa nje ya Duka la vifaa vya michezo la Kassim Dewji lililopo Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam. Madada hao hukusanyika kila asubuhi eneo hilo na kumsubiri bosi wao (mwenye kofia kibalaghashia) ili kuwagawia vibarua vya siku ama kuwakabidhi kwa mabosi wanaohitaji wafanyakazi wa ndani.
ORYX GASI , SKAUTI TANZANIA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO MATUMIZI SALAMA YA
NISHATI SAFI YA KUPIKIA
-
Skauti Mkuu wa Tanzania, Lt. Rashid Mchata, amesema ushirikiano kati ya
Chama cha Skauti Tanzania (Tanzania Scouts Association-TSA) na Oryx Gas
Tanzania Li...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment