Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya
kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti
vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na wafanyabiashara wanaogiza na
kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20 (yanayoonekana nyuma) yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe
kwenda nje ya nchi ambapo ameagiza Kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia baadhi ya
magari yalivyoingizwa nchini na Wafanyabiashara wakubwa kwa njia isiyo halali
ya kudai kuwa ni makontena ya mitumba wakati ndani yake wanaficha magari
yakifahari wanayoyachanganya na bidhaa zilizochakaa.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya
kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti
vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na wafanyabiashara wanaogiza na
kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi.

No comments:
Post a Comment