Katibu
NEC, Uchumi na Fedha wa CCM, aliyemaliza muda wake, Zakia Meghji, akimkabidhi
baadhi ya nyaraka za Ofisi Katibu wa Uchumi na fedha mpya, Dkt. Frank Hawassi,
wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo mchana Ofisi ndogo za CCM Makao Makuu Lumumba
jijini Dar es Salaam. Nyuma yao ni baadhi ya wafanyakazi wa Idara hiyo CCM,
wakishuhudia.
KARIBU MONDULI, TUPO BEGA KWA BEGA NA SERIKALI
-
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wamempokea kwa shangwe Mlezi wao wa Mkoa wa
Arusha ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) na kutuma
sa...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment