Mshambuliaji wa Kimataifa Mbwana Samatta (kulia) akijaribu kumtoka Frank Domayo, wakati wa mazoezi ya Timu ya Taifa Taifa Stars, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni ya leo kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya Kimataifa Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Hassan Kessy akimchambua kipa wakati wa mazoezi
Mbwana Samatta, akimtesa kipa
Makontrol yakiendelea....








No comments:
Post a Comment