Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imemtia hatiani msanii Elizabeth Michael au Lulu kwamba alimuua bila kukusudia mpenzi wake Steven Kanumba.
Jaji Sam Rumanyika amemtia hatiani mshitakiwa huyo muda huu ambapi anasoma hukumu ya kesi ya kumuua bila kukusudia Kanumba inayomkabili Lulu.
KAA NASI KWA TAARIFA KAMILI HAPO BAADAYE
No comments:
Post a Comment