Wachezaji wa Bao ambao ni mashabiki wa timu za Yanga na Simba, Mwinyi Mpeku (kulia Yanga) na Mkude Simba (Simba) wakitambiana wakati wakichuana katika mchezo huo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika Mtaa wa Magomeni Makanya, jijini Dar es Salaam. Katika mchuano huo Mwinyi Mpeku wa Yanga alishinda. Pembeni ni mashabiki wa mchezo huo wakifuatilia kwa makini mpambano.
BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA MWANASHERIA MKUU LAKUTANA
-
• Mwanasheria Mkuu wa Serikali asisitiza kuendelea kusogeza huduma karibu
na Wananchi
Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali li...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment