Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa maagizo baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo

Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo
Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo
Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo
Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo
No comments:
Post a Comment