Habari za Punde

PROPERTY INTERNATIONAL YAICHAPA YANGA VETERANS MABAO 6-2

 Kikosi cha Property International

Kikosi cha Yanga Veterans
 Mshambuliaji wa Yanga Veterans, Mohamed Hussein 'Machinga' akiwatoka mabeki wa Property International,wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam, jana usiku.Katika mchezo huo Property walishinda mabao 6-2. 
 Beki wa Property International, Ibrahim Salim (kulia) akichuana kuwania mpira na Mshambuliaji wa Yanga Veterans, Kipanya Malapa, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam,jana usiku. Katika mchezo huo Property walishinda mabao 6-2.
wakati wa mapumziko
 Ibrahim Salim, akijaribu kumpita beki wa Yanga Veterans, Chibe Chibindu wakati wa mchezo huo.
 Mshambuliaji wa Property International, Saleh, akikokota mpira.....
 Saleh akijaribu kukatiza katikati ya wachezaji wa Yanga Veterans
Beki wa zamani wa Yanga Chibe Chibindu akijiandaa kupiga krosi wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.