Habari za Punde

TAKUKURU YATANGAZA ZAWADI YA SH.MILIONI 10 KWA ATAKAYEFANIKISHA KUNASWA KWA MHASIBU WAO GODFREY GUGAI

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia General Julius Mbung'o, akionyesha kwa waandishi wa habari Picha ya aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, Godfrey Gugai, aliyetoweka kusikojulikana kufuatia kutafutwa na Taasisi hiyo kwa kosa la kutumia madaraka vibaya kwa kujilimbikizia mali zenye mabilioni ya shilingi.
 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia General Julius Mbung'o, akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa, (TAKUKURU) wakati wakitangaza zawadi ya Sh.milioni 10 kwa mtu yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi hiyo, Godfrey Gugai, aliyetoweka kusikojulikana kufuatia kutafutwa na Taasisi hiyo kwa kosa la kutumia madaraka vibaya kwa kujilimbikizia mali zenye mabilioni ya shilingi. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.