Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha kikao cha Tisa cha Bunge, bungeni Mini Dodoma Novemba 17, 2017. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha kikao cha bunge, bungeni mjini Dodoma November 17, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.