Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rayvan, akishambulia jukwaa na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa Next Door Arena Masaki, kushuhudia mchezo wa fainali za UEFA Championship kati ya Liverpool na Totenham, kupitia screen kubwa. Katika mchezo huo Liverpool ilishinda mabao 2-0.
Pozi na mashabikibi wake
Mashabiki wa Liverpool wakishangilia na mfano wa Kombe la UEFA jukwaani baada ya kuwabamiza Totenham 2-0.
Dogo Janja naye alikuwepo kushuhudia
Msemaji wa KMC Anuary Binde (katikati) akipozi na Patrick Nyembela (kulia) na Makocha.KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Ulinzi ulikuwa ni wa hali ya juu
Watangzaji Maulid Kitenge (kushoto) na Taji Liundi wakiongoza shughuli hiyo
Mashabiki wakifuatilia mtanange huo.
No comments:
Post a Comment