Habari za Punde

TIMU KIBA YAPIGWA TENA 6-3 NA TIMU SAMATA

 Mshambuliaji wa timu ya Kiba, Ali Kiba, akimtoka Kiungo wa Samata, Haruna Moshi, wakati wa mchezo maalumu wa kirafiki wa kuchangia Taasisi ya SAMAKIBA uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Katika mchezo huo Kiba timu ilishinda mabao 6-3.
 Mshambuliaji wa Timu ya Samata, Mbwana Samata, akiwania mpira na beki wa Kiba, Shiza Kichuya, wakati wa mchezo maalumu wa kirafiki wa kuchangia Taasisi ya SAMAKIBA uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Katika mchezo huo Sama Timu ilishinda mabao 6-3.
 Msuva akipiga shuti mbele ya beki Yondani na kufunga bao.
 Mshambuliaji wa timu ya Samata, Thomas Ulimwengu (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Alikiba, Pascal Wawa, wakati wa mchezo maalumu wa kirafiki wa kuchangia Taasisi ya SAMAKIBA uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Ibrahim Ajib akijaribu kumtoka Baba Ubaya
 Simon Msuva, akijaribu kumtoka Hassan Kessy
 Hassan Kessy akimtoka Shiza Kichuya
Haruna Boba, akimpora mpira Ali Kiba....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.