Habari za Punde

CHIBONGE MTURUKI AMFAGILIA RAIS MAGUFULI MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME YA WAKANDARASI

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwele (kushoto) na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, wakipata huduma ya vinywaji kutoka kwa mhudumu Veronica Boniface, wakiwa ndani ya Behewa la Treni ya kwanza ya majaribio iliyofanya Ruti ya Kilometa 20 katika Reli Treni ya umeme (SGR) jana.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwele, akishuka kwenye Behewa la Treni ya kwanza ya majaribio iliyofanya Ruti ya Kilometa 20 katika Reli Treni ya umeme (SGR) baada ya kufanya majaribio ya treni hiyo ya kikandarasi jana. 
 Baadhi ya waandishi wa habari walioongoza na waziri Kamwelwe katika majaribio ya Treni hiyo.
 Waziri Kamwelwe, akizungumza na waandishi wa habari bada ya majaribio hayo na kutembea kilometa 20.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.