Mzee Kilomoni akipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kuzuiliwa kuenelea na mkutano wake na waandishi wa habari nyumbani kwake Block 41 Kinondoni Dar es Salaam, mchana wa leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Simba Mzee Kilomoni, akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Kinondoni Block 41 Dar es Salaam, leo kabla ya askari kuvamia mkutano huo na kumzuia ambapo mkutano huo na waandishi wa habari ulishindwa kumalizika baada ya askari kumchukua na kwenda nae kituo cha Polisi Oysterbay kwa madai kwamba hakuwa na kibari cha kufanya mkutano huo..
Mzee Kilomoni akitoka eneo la Mkutano kwenda nje kuwasilikiza askari.
No comments:
Post a Comment