Habari za Punde

WANAHABARI DAR WANOLEWA KUELEKEA MKUTANO WA SADC

MKURUGENZI  wa Mawasiliano Ikulu, Greyson Msigwa, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam, wakati wa kufanya usajili wa kupata vitambulisho kwa aajili ya kuripoti Mkutano Mkuu wa SADC unaotarajia kufanyika nchini hivi karibuni. (Picha na Muhidin Sufiani).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.