Habari za Punde

UHAMIAJI YAWEKA WAZI KUHUSU MWANDISHI ERIC KABENDERA

 KAMISHNA wa Uraia na Pasipoti, Gerald Kihinga, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu sakata la Mwandishi wa habari Eric Kabendera, aliyekamatwa siku za hivi karibuni, ambaye kwa sasa anashikiliwa na Uhamiaji kwa ajili ya mahojiano. (Picha na Muhidin Sufiani).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.