OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Crescentius Magori (kushoto), akisaini mkataba wa udhamini Jezi na vifaa vya michezo na Mwakilishi wa Kampuni ya Romario Sports 2010, Minhaal Dewji, jijini Dar es Salaam. (Picha na Muhidin Sufiani)
Wakibadilishana mkataba.
No comments:
Post a Comment