Mkurugenzi wa Huduma na Miundombinu wa SADC, Mapolao Mokoena, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kuhusu mambo mbalimbali endelevu yahusuyo Miundombinu ndani ya Nchi za SADC.
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda na Biashara wa SADC, Callisius
Tutalife, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, kuhusu mambo
mbalimbali ya Viwanda na Biashara ndani ya Nchi za SADC.
No comments:
Post a Comment