Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipongezana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril
Ramaphosa baada ya kubadilishana zawadi Ikulujijini Dar es Salaam.
Pichanamba
3.
Pichanamba
4-5.
Pichanamba
6-7-10.
Pichanamba
9.RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na mgeni
wake.
Raiswa wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya pamoja na Rais waJamhuri yaAfrika Kusini
Cyril Ramaphosa pamoja na ujumbe wake Ikulujijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake baada ya kumaliza kikao chao na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment