Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Vifungashio Global Packaging (T) Ltd, Benno
Mwitumba akitoa maelezo kwa baadhi ya washiriki wa Maonesho ya
Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, wafanya ziara ya kutembelea kiwanda
hicho kilichopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani juzi.
Maelezo yakiendelea
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Global Packaging (T) Ltd, Benno
Mwitumba (kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya washiriki wa Maonesho ya
Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, wafanya ziara ya kutembelea kiwanda
hicho kilichopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment