Meneja Udhibiti Ubora wa Kiwanda cha Viuadudu, Samwel Mziray, akifafanua jambo kwa washiriki wa wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, kuhusu mtumizi ya dawa ya kuua Mbu wakati walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, juzi.
Meneja uzalishaji wa Kiwanda cha Viuadudu, Mhandisi Agrey Ndunguru, akitoa maelezo kwa baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, jinsi wanavyozalisha na kuwatuzna wadudu na kuwatunza ili kutengeneza dawa ya kuua Mbu wakati walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani.
Mtaalamu wa Maabala wa Kiwanda cha kutengeneza Viuadudu wa kuua Mbu, John Tusiwe, akitoa maelezo kwa baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, jinsi wanavyoweza kuzalisha vijidudu (Viluilui) walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani.

No comments:
Post a Comment