Habari za Punde

WAZIRI JAFO ALIPOTEMBELEA MAONESHO YA JAMA FEST UWANJA WA TAIFA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jafo, akiangalia picha ya kuchorwa kwa vijiti huku akipata maelezo kutoka kwa mchoraji wa picha hiyo Msanii wa Sanaa ya Stro Art, Robin Odida, kutoka Kenya wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho ya Jama fest katika
Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Wasanii wa kundi la Sanaa la JKT wakitoa burudani jukwaani katika Maonesho ya Jama Fest yanayoendelea Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.