Habari za Punde

WASANII WACHANGAMKIA FURSA MAONESHO YA JAMA FEST

 Msanii wa uchoraji Deonatus Sotery, akichora picha ya familia aina ya 'Hypereali Drawing' kama alivyokutwa katika banda la Maonesho ya Sanaa na Utamaduni ya Jama Fest yanayomalizika leo katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Msanii wa uchoraji Moses Mwansasu, akichora picha ya mrembo aina ya 'Hypereali Drawing' kama alivyokutwa katika banda la Maonesho ya Sanaa na Utamaduni Jama Fest yanayomalizika lwo katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Msanii wa uchoraji Deonatus Sotery, akiandaa picha ya Mkuu wa Mkoa aliyoichora kwa ajili ya kuonyesha wateja wake katika banda lake.
Picha ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda iliyochorwa na wasanii hao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.