Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA MTANANGE WA STARS VS SUDAN

Baadhi ya mashabiki wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya Kamisaa kuonesha kibao zikiwa zimesalia dakika Nne.
Shabiki Mhamasishaji akisherehesha
 Kikosi cha kwanza cha Taifa Stars
 Iddi Nado akimiliki mpira
 Nado akimtoka beki wa Sudan, Atahir Babikir
 Iddi Nado akimiliki mpira...
 Gadiel Michael akipambana na Yasir Mozamil
 Gadiel Michael akiruka kukwepa kwanja la beki wa Sudan
 Mshambuliaji wa Stars, Ayubu Lyanga, akimtoka beki wa Sudan
 Kikosi cha Sudan 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.