Winga wa Taifa Stars Iddi Seleman akiruka kumiliki mpira huku akizongwa na Kiungo wa Sudan, Atahir Babikir wakati wa mchezo wa Kuwania kufuzi Chan uliopigwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, leo jioni. Katika mchezo huo Sudan wameshinda bao 1-0 lililofungwa katika kipindi cha pili.
Beki wa Taifa Stars, Gadiel Michael, akiruka kukwepa kwanja la Kiungo wa Sudan, Yasir Mohamed.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa hawaamini kilichotokea..
Mashabiki wakisherehesha....
Mashabiki wakisherehesha...
No comments:
Post a Comment