Habari za Punde

MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA NA BIASHARA YAZINDULIWA LEO MKOA WA PWANI

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, akimsikiliza Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara ndogo na Kati wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi, wakati alipotembelea banda hilo katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano la siku saba la Uwekezaji Mkoa wa Pwani, lililoanza jana Kibaha. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (Picha na Muhidin Sufiani).
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, akimsikiliza Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo TIB, Patrick Mongella, wakati alipotembelea banda hilo katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Kongamano la siku saba la Uwekezaji Mkoa wa Pwani, lililoanza jana Kibaha. Wapili (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) ni Naibu Waziri wa Nishat, Subira Mgelu.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, akimsikiliza Katibu wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mkoa wa Pwani, Elima Mgonja, wakati alipotembelea banda hilo katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Kongamano la siku saba la Uwekezaji Mkoa wa Pwani, lililoanza jana Kibaha. Wapili (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Tathmini ya athari kwa Mazingira, Dk. Menan Jangu, wakati alipotembelea banda Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Kongamano la siku saba la Uwekezaji Mkoa wa Pwani, lililoanza jana Kibaha.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, akimsikilizaFundi wa Mita wa Tanesco Mkoa wa Pwani, Damas Kimaro, wakati alipotembelea banda hilo katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Kongamano la siku saba la Uwekezaji Mkoa wa Pwani, lililoanza jana Kibaha.
 NEMC wakijiachia katika Banda lao wakati wa maonesho hayo.
 Ujirani Mwema, ni Ofisa wa Benki ya NMB akisalimiana na Ofisa wa Benki ya CRDB walipokutana katika maonesho hayo.
 Ni shangwe tu hapa 
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgelu (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco katika Maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.