Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA KONGAMANO KUBWA LA UWEKEZAJI MKOA WA PWANI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Injinia, Evarist Ndikilo,  baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kuzindua Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri Angela Kairuki, baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kuzindua Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishati, Subira, Mgalu, baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kuzindua Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani.
 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jocate Mwegelo, akisaini katika Kitabu cha Wageni cha Banda la NMB.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza, Meneja Masoko wa Kampuni ya TATC Nyumbu,  Numwagile Lyangwa, kuhusu mashine ya kuchakata Katani, wakati alipotembelea katika Banda hilo kwenye Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la Uwekezaji Mkoa wa Pwani katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha jana. 
 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asummta, akisaini kitabu cha wageni katika Banda la NMB.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza, Daktari Msaidizi wa Kampuni ya Hill Packagin, Elibariki Parsalaw, wakati alipotembelea katika Banda hilo kwenye Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la Uwekezaji Mkoa wa Pwani katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha jana. 
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Alpha Group, wakijipanga kumsubiri Waziri Mkuu.
 Wananchi wakipatiwa huduma katika Banda la NMB.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza, Ofisa Viwango wa Kampuni ya Alpha Group, Samwel Chiwinga, wakati alipotembelea katika Banda hilo kwenye Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la Uwekezaji Mkoa wa Pwani katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha jana.
 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, akihudumiwa kutoa pesa alipofika katika Banda la NMB.
 Waziri Mkuu akipita katika Mabanda....
 Mkurugenzi wa Kiwanda cha Vifungashio, akisaini kitabu cha wageni katika Banda la NMB
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza, Ofisa Masoko Mkuu wa Kampuni ya Motisun Group, Erhard Mlyansi, wakati alipotembelea katika Banda hilo kwenye Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la Uwekezaji Mkoa wa Pwani katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha jana.
W
 Baadhi ya Wafanyakazi wa TIB wakijipanga kumsubiri Waziri Mkuu.
 Baadhi ya wafanyakazi wakijipanga kusubiri kumpokea Waziri Mkuu katika Banda lao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo, wakati alipotembelea katika Banda la benki ya NMB katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la  Uwekezaji Mkoa wa Pwani, jana. 
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki, Baraka Ladislaus, wakati alipotembelea katika Banda la benki hiyo katika uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda na Biashara na Kongamano kubwa la  Uwekezaji Mkoa wa Pwani, jana.
 Akipokea zawadi
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua kitabu cha Mkakati wa Uwekezaji Mkoa wa Pwani, wakati wa hafla hiyo Kibaha Mkoani Pwani jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo (kulia) ni Waziri Angela Kairuki.
 Picha ya pamoja na Wadhamini wa Kongamano hilo.
 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgelu, akizungumza katika Kongamano hilo.
 Mtaalamu wa Biashara ya Fedha Benki ya NMB, Jonathan Semzaba, akiwasilisha mada kuhusu kazi za kifedha za Benki hiyo, wakati wa Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Pwani lililofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kibaha.
Maofisa wa NMB wakiongoza na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe baada ya kumpkea na kumuongoza kuelekea katika banda lao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.