Habari za Punde

JENGO LA UMOJA WA POSTA AFRIKA KUJENGWA JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) James Kilaba (katikati) Mkuu wa Uendeshaji na Teknolojia wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Nathan Mkandawile (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya Beijing Construction Engineering Tanzania, Cheng Longhai, wakisaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) litakalojengwa jijini Arusha. wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, jana. Wanaoshuhudia nyuma yao ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo. (Picha na Muhidin Sufiani).
  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) James Kilaba (katikati) akibadilishana mkataba wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) litakalojengwa jijini Arusha na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya Beijing Construction Engineering Tanzania, Cheng Longhai, baada ya kutiliana saini mkataba huo wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, jana. Katikati yao ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia) na Mkuu wa Uendeshaji na Teknolojia wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Nathan Mkandawile (kushoto) wakishuhudia. 
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe, akizungumza

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho, akizungumza 
  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) James Kilaba
Mkuu wa Uendeshaji na Teknolojia wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Nathan Mkandawile, akizungumza

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.