Habari za Punde

MATUKIO YA PICHA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA SV YANGA JAN 4 2020

 Wachezaji wa Yanga wakiingia uwanjani kuanza kupasha misuli huku wakianza kukanyaga nyasi za uwanja kwa kuingia kinyumenyume huku wakiingilia upande walioingilia wapinzani wao Simba. (kulia ni mzee wa Simba akiwashangaa.
 Cheki hapa wachezaji wa (kushoto) wanavyoanza kuingia uwanjani kimgongo mgongo.
 Mwamuzi wa mtanange huo Jonesia akipasha kabla ya kuanza mtanange.
 Timu zikiingia uwanjani
 Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima (kulia) akiwahadaa viungo wawili wa Simba, Jonas Mkude na Chama.
 itram Nchimbi wa Yanga (kushoto) akichuana na beki wa Simba, Tairone Santos.
 Kipa wa Simba, Aishi Manula akiwa chini huku akilalama baada ya mpira uliopigwa kwa kichwa na Mohamed Banka na kuandika bao la pili.
 Yanga wakishangilia bao la pili. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

 Beki wa Simba Mohamed Hussein akitako kuucheza mpira kumdhibiti Deus Kaseke wa Yanga. 
 Mashabiki wa Simba wakiwa wamepoa baada ya bao la pili kusawazishwa
 Mashabiki wa \Yanga wakiamsha amsha baada ya kusawazisha bao la pili.
 Mwigulu Nchemba, akishangilia akiwa jukwaa kuu.
 Mashabiki wa Simba na vioja vya utani wa jadi.
 Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama, akijaribu kumtoka beki wa Simba, Mohamed Hussien.
 Mo Banka akiambaa
 Beki wa Simba, Tairone Santos (kulia) akijaribu kumdhibiti, mshambuliaji wa Yanga, Ditram Nchimbi.
Niyonzima akimtoka Tshabalala.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.