Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Packway, Bw. Pauline Mtunda, akifafanua jambo kwa waandiashi wa habari washiriki wa Mafunzo maalumu juu ya Uelewa wa Bima, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, jana na kushirikisha wanahabari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari nchini. (Picha na Muhidin Sufiani)
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii.
Mshauri wa Kujitegemea wa Bima, Elia Kijiba, akiendesha mafunzo hayo kwa waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii.
No comments:
Post a Comment