Habari za Punde

NMB YAWATUNUKIA ZAWADI MADEREVA BODABODA WANAOTUMIA MASTER CARD QR

Meneja  Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kibamba Hospitali, Jonas Ruben, aliyeibuka mshindi kwa kufanya miamala mingi kulipwa na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Massawe. (Picha Zote na Muhidin Sufiani)  
Meneja  Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kimara kwa Msuguri, Gasper Ngooh. 
 Meneja  Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kukia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Ubungo Plaza,Abubakar Mohamed.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Mwenge, Ebenezer Elia.
Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo Sayansi Adam.
Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo Kawe Ukwamani, Goodluck Ntaya.
Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Buguruni Rozana, Twalha Ally.
Menaja Mahusiano wa Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000 Dereva wa Bajaji wa Kituo Buguruni Rozana, Mohamed Abdallah, aliyeibuka mshindi kwa kufanya miamala mingi kulipwa na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Massawe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.