Habari za Punde

PICHA ZA MATUKIO PAMBANO LA MWAKINYO VS TINAMPAY, KIDUKU VS RAMABOLU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mwana FA na Ommy Dimpoz, wakimuongoza bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo, kuiingia nulingoni kupambana na Bondia Mphilipino, Tinampay, katika pambano la kimataifa lisilo la Ubingwa lililochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Novemba 29/2019. Katika pambano hilo Mwakinyo alishinda kwa Pointi.
Mwakinyo akiingia ulingoni.....
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay kutoka Uphilipino, wakati wa pambano lao la kimataifa la kirafiki lisilo la ubingwa lililochezwa Novemba 29. usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Mwakinyo alishinda kwa Pointi. (Picha Zote na Muhidin Sufiani).
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay 
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay 
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay 
Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay kutoka Uphilipino, wakati wa pambano lao la kimataifa la kirafiki lisilo la ubingwa lililochezwa juzi usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (kulia) akipambana na mpinzani wake, Arnel Tinampay.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela, akizungumza jambo baada ya Mwakinyo kutangazwa mshindi katika pambano hilo. Wa pili (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akimpongeza Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo, baada ya kumchapa, Arnel Tinampay kwa pointi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa Uwanja wa Uhuru. 
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akimpongeza Bondia Mtanzania Twaha Kiduku, baada ya kumchapa France Ramabolu wa Afrika ya Kusini kwa KO katika Raundi ya Tano katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa Uwanja wa Uhuru.
Bondia Mtanzania Twaha Kiduku (kulia) akipambana na mpinzani wake, France Ramabolu, kutoka Afrika ya Kusini, wakati wa pambano lao la kimataifa la kirafiki lisilo la ubingwa lililochezwa Novemba 29 usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Kidukua alishinda kwa KO raundi ya tano. (Picha Zote na Muhidin Sufiani).
Bondia wa Afrika ya Kusini France Ramabolu akiwa chini baada ya kupigwa ngumi nzito na mpinzani wake Mtanzania, Twaha Kiduku (kulia) wakati wa pambano lao la kimataifa la kirafiki lisilo la ubingwa lililochezwa Novemba 29 usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Kidukua alishinda kwa KO raundi ya tano. 
Chaliiiii
Akihesabiwa
pambano likiendelea
Ngumi nzito
Ngumi ya chembe
Mashabiki wa ngumi wakijiselfie na Twaha Kiduku baada ya kutangazwa mshindi.
Bondia Salumu Jengo kutoka Tanga (kulia) akipambana na mpinzani wake, Loren Japhet, wa Dar es Salaam, wakati wa pambano lao la utangulizi lisilo la ubingwa wakati wa pambano la kirafiki la Kimataifa kati ya Haasan Mwakinyo na Arnel Tinampay kutoka Uphilipino lililochezwa Novemba 29 mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Salumu alishinda kwa Pointi. 
Chiniiiiii,  Bondia Loren Japhet akiwa chini baada ya kuchapwa konde zito na mpinzani wake, salumu Jengo
Bondia Salumu Jengo kutoka Tanga (kushoto) akipambana na mpinzani wake, Loren Japhet, wa Dar es Salaam, wakati wa pambano lao la utangulizi lisilo la ubingwa wakati wa pambano la kirafiki la Kimataifa kati ya Haasan Mwakinyo na Arnel Tinampay kutoka Uphilipino lililochezwa juzi usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Bondia Meshack Mwankemwa kutoka Mbeya (kushoto) akipambana na mpinzani wake, Adam Yusuph wa Dar es Salaam, wakati wa pambano lao la utangulizi lisilo la ubingwa wakati wa pambano la kirafiki la Kimataifa kati ya Haasan Mwakinyo na Arnel Tinampay kutoka Uphilipino lililochezwa Novemba 29 usiku katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Meshack alishinda kwa Pointi. 
Meshack Mwankemwa kutoka Mbeya (kulia) akipambana na mpinzani wake, Adam Yusuph wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.