Habari za Punde

TCRA YAADHIMISHA SIKU YA USALAMA MTANDAONI

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba (kulia) akimkabidhi zawadi ya Kompyuta mpakato mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Godwin Mpapalika, ambaye ni mshindi wa shindano la Usalama Mtandaoni wa mwaka huu lililoendeshwa na Mamlaka hiyo. Makabidhiano ya zawadi kwa washindi wawili yalifanyika katika Ukumbi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo wakati wa Sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni. (Picha na Muhidin Sufiani).
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba, akizungumza wakati alipofungua rasmi maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni, iliyofanyika katika ukumbi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Meza kuu
Baadhi ya wanafunzi waliohudhulia maadhimisho hayo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.