Mchungaji wa kanisa la 'Crist Embassy Churech' la Mbezi jijini Dar es Salaam, Ken Igini (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula kwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Pentekostet (CPCT) Maiko Lugarati kwa niaba ya wachungaji wa makanisani hayo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Chalinze Mkoa Pwani, mwishoni wa wiki. Msaada huo unathamani ya sh. milioni 4.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwx_KbC6BfEoe9HhnqUGl2qb6Sm9f4uCtYV7n4oNSmwW7B1hRS7iQva-F-CvfLhHTM38Y4uhKE5ZPgxvOW8EORfhT63UKmG9P0aQ5HSrLWnyaZBouKkeYGn1a3h4wiqR7nnpbrFExARFo/s640/MSA_6947.JPG)
Akitoa neno la shukrani
Mchungaji wa kanisa la Crist Embassy Churech Mbezi Dar es Salaam Ken Igini akizungumza, wakati wa hafla hiyo.
Mchungaji wa kanisa la Crist Embassy Churech Mbezi Dar es Salaam Ken Igini (katikati) akisimamia ushushaji wa vyakula walipowatembea wachungaji wa Makanisa ya Pentekostet (CPCT) na kuwapatia misaada mbalimbali ya vyakula, Chalinze Mkoan Pwan, mwishon wa wiki. Picha zote na Miraji Msala.
No comments:
Post a Comment