MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Justina Mashiba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shilika la Mawasiliano Tanzania, TTCL, Wazili Kindamba, wakisaini mkataba wa makubaliano ya kupeleka mawasiliano Vijijini awamu ya tano, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, jijini Dar es Salaam, jana. Wanaoshuhudia nyuma ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula.
MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Justina Mashiba (kulia) akibadilishana mkataba na Mkurugenzi Mkuu wa Shilika la Mawasiliano Tanzania, TTCL, Wazili Kindamba, baada ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya kupeleka mawasiliano Vijijini awamu ya tano, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, jijini Dar es Salaam, jana. Wanaoshuhudia nyuma ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEszLCEJ5W5egjbI9HIJEREB6fTDdMSYNKRBRsDCeYFk5KfsWknzISneY6OfFu4q9fJDnrKLz_48Qca1Iw0CFIAr3wLXzNQUds-NnZFlzuMlmaxEHcKQXEM-6Gs-GtEOAnT8YziyivuKY/s640/saini+2.jpg)
Nooo tusipeane mikono corona bado ipooooo. (Picha na Muhidin Sufiani)
No comments:
Post a Comment