Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini, Yussuf Yussuf, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh'unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, A Brown, akitoa burudani wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chaby Six, akitoa burudani wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar,
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mwera, Zahor Mohammed Haji akimwaga sera zake wakati wa mkutano wa Kampeni ulifanyika katika Uwanja wa galagala mjini Unguja Zabzibar.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la mwera, Zahor Mohammed Haji, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh'unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar
No comments:
Post a Comment