Habari za Punde

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC JIJINI WASHNGTON DC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Dc nchini Marekani, wakati akiwa katika ziara.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Dc baada ya kufanya mazungumzo nchini humo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.