Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil aliyewahi kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2002, Juliano Balletti (kushoto) akisalimiana na mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Abubakar (Sure Boy) wakati alipowatembelea katika kambi yao ya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, (Picha zote na Muhidin Sufiani)
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Juma Nature, akitoa burudani jukwaani wakati wa Tamasha maalumu la Ujio wa Kombe la Dunia lililofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil aliyewahi kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2002, Juliano Balletti, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, wakati alipowatembelea katika kambi yao ya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil aliyewahi kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2002, Juliano Balletti, akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, wakati alipowatembelea katika kambi yao ya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brazir aliyewahi kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2002, Juliano Balletti, akisubiri kupokea pasi kutoka kwa Meneja Masoko wa Cocacola Tanzania, Kabula Nshimbo, wakati walipokuwa wakicheza mpira walipowatembelea katika kambi ya mazoezi ya timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, kwenye Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa.
Siasa : Zahara Michuzi Ajitosa Mbio za Ubunge wa Viti Maalum (UWT) Tabora
-
Zahara Michuzi, mmoja wa watumishi wa umma waliopitia majukumu makubwa
serikalini kwa miaka kadhaa, amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha
ubung...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment