Habari za Punde

KIJITONYAMA UNITED YAICHAPA MADRID YENYE FULL MASTAA 1-0

Beki wa timu ya Kijitonyama United, Anthony Haule (katikati) akiwani mpira na mshambuliaji wa Madrid ya Sinza, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Kiungo wa Kijitonyama Jerome Katika mchezo huo Kijitonyama ilishinda bao 1- 0. (Picha na Muhidin Sufiani)
Jerome Julia (kulia) akimiliki mpira mbele ya Bakari Masoud, wakati wa mchezo huo.
Mchezaji wa Madrid (kulia) akijaribu kumhadaa beki wa Kijitonyama, Anthony Haule, wakati wa mchezo huo.
Winga wa timu ya Kijitonyama United, Josee Kazaula (kushoto mbele) akiondosha mpira mbele ya Kiungo wa Madrid, Rashid Mkoko, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Kijitonyama ilishinda bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.