Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA GR TABORA ISAKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango (kulia) Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, wakifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tabora Isaka.yenye urefu wa Kilometa 165, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Isaka Mkoa wa Shinyanga. (Picha na Muhidin Sufiani)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango (kulia) akiweka majina ya Viongozi mbalimbali katika Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tabora Isaka.yenye urefu wa Kilometa 165, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Isaka Mkoa wa Shinyanga. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Isaka, Feldinand Mpona, wakati alipotembelea katika Banda la Benki hiyo wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tabora Isaka.yenye urefu wa Kilometa 165. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tabora Isaka.yenye urefu wa Kilometa 165 iliyofanyika Isaka mkoani Shinyanga 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa wakati akipita katika mfano wa RELI inayotarajiwa kujengwa wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tabora Isaka.yenye urefu wa Kilometa 165 iliyofanyika Isaka mkoani Shinyanga.
 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.