Habari za Punde

RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA KILIMO-DAKAR SENEGAL

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023. Katika Mkutano huo ambao Tanzania ilikuwa Mwenyeji, Mhe. Rais Samia aliambatana na baadhi ya Mawaziri pamoja na wakuu wa Taasisi Mbalimbali


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.