Habari za Punde

BONANZA LA BIMA CUP 2023 LANOGA KINOMA DAR

Mchezaji wa timu ya NMB Rajab Abdallah (kushoto) akijaribu kuwatoka mabeki wa Meticulous  Nuhu Jabu (katikati) na Nuhu Ivoivo (wa pili kuia) wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Meticulous ilishinda mabao 2/1. Kulia ni mshambuliaji wa NMB Nuhu Mkuchu akisubiri kutoa msaada.Beki wa Nmb Julius Dante (kulia) akitako kuondoa mpira wa hatari mbele ya mchezaji wa Meticulous, wakati wa mchezo wa Bonanza la Bima Cup 2023 lililofanyika jana kwenye Viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, Mchezaji wa timu ya NMB Laurance Kilumanga akiwania mpira na Nuhu Jabu wa timu ya Meticulous wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Meticulous ilishinda mabao 2/1. Mchezaji wa timu ya NMB Anuary Jamal, akimtoka beki wa TIBA Fc, Festo Prosper, wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo NMB ilishinda mabao 3/0.Mshambuliaji wa timu ya NMB Nuhu Mkuchu (kulia) akitoa pasi katikati ya mabeki wa Oryx, wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Oryx ilishinda mabao 3/2. Kipute kikiendeleaMaelekezo kabla ya mchezo kuanza


Mchezaji wa timu ya NMB Nuhu Mkuchu, akiwania mpira na beki wa Oryx, Hemed Abraham, wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Oryx ilishinda mabao 3/2.
Mchezaji wa timu ya NMB Venance Bomba, akiwania mpira na beki wa Oryx, Mussa Chibanga wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Oryx ilishinda mabao 3/2.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.