Habari za Punde

TRC WAZINDUA JARIDA, WAHARIRI WAMALIZA ZIARA MRADI WA SGR

  • Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizindua Jarida la Shirika la Reli Tanzania, wakati wa ziara ya Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini waliotembelea katika Jengo la Tanzanie Kilometa 0 ikiwa ni muendelezo wa mafunzo ya siku mbili ya wahariri hao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Masanja Kadogosa, Wa pili (kulia) ni Mkurugenzi Rasilimali watu wa Shirika hilo, Amina Lumuli na (kulia) ni Afisa Habari wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk. (Picha na Muhidin Sufiani)Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa (kushoto) Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Shirika hilo, Amina Lumuli (wa pili kulia) na Afisa Habari wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk, wakionyesha baadhi ya Majarida ya TRC baada ya kuzinduliwa rasmi na msemaji huyo, wakati wa ziara ya Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini waliotembelea katika Jengo la Tanzanie Kilometa 0 ikiwa ni muendelezo wa mafunzo ya siku mbili ya wahariri hao yaliyofanyika kwa siku mbili jijini Dar es SalaamMeneja Mradi Msaidizi wa Shirika la Reli Tanzania, Eng. David Msusa (SGR Dar-Moro) akifafanua jambo kwa baadhi ya Wahariri wa Vyombombalimbali vya Habari, kuhusu Chumba maalumu cha uendeshaji na usimamizi wa mifumo mbalimbali ya Treni ya SGR Control room, walipotembelea wakati wa ziara ya Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini waliotembelea katika Jengo la Tanzanie Kilometa 0 ikiwa ni muendelezo wa mafunzo ya siku mbili ya wahariri hao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Masanja Kadogosa. 
  • Wakitembezwa katika kituo cha Tanzanite.
  • Wakiwa katika kituo cha Pugu
  • Wahariri wa vyombo vya Habari na Waandishi wakipata maelezo kuhusu kituo cha kufua umeme
  • Wahariri wa vyombo vya Habari na Waandishi wakipata maelezo kuhusu kituo cha Soga wakiwa katika ziara yao ya siku ya pili jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.