Habari za Punde

MBIO ZA MWENGE ZAZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA VIJANA NA MRADI WA UFUGAJI WA VIFARANGA MKOANI TANGA

 Waziri wa afya na Mbunge wa Jiji la Tanga Mh.Ummy Mwalimu pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji Mh. Al -Hajj Abdulrahman Shillow Na Mkuu wa Wilaya Mh Hashim Mgandilwa, wakiwa katika hafla ya sherehe ya kuupokea Mwenge wa Uhuru  wakati ulipowasili mkoani Tanga jana
 Baadhi ya viongozi walioupokea Mwenge na kuwasilisha ripoti ya Mradi wa TangaYetu kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru. Abdlah Shaibu Kaimu, ambae alipata nafasi ya kukagua na kuzindua kituo cha Uwezeshaji Vijana Kiuchumi eneo la Neema Tumbilini lenye mradi wa Ufugaji wa vifaranga Aina ya Kuroila F1, Ufugaji wa Samaki Sato na mafunzo  Kilimo kwa  Vitendo,  Biashara ambayo ipo chini ya Mradi wa TangaYetu inayofadhiliwa na Foundation Botnar Chini ya usimamiizi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga na ESRF pamoja na Wadau wengine. Picha na Khadija Kalili

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.