Habari za Punde

BENKI YA NMB YASAINI MKATABA NA ORBIT SECURITY CO LTD KUWA WAKALA WA MADALALI WA SOKO LA HISA

Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Ruth Zaipuna (katikati) akisaini Mkataba wa kuwa Wakala wa Madalali wa Soko la Hisa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Orbit Security Co. Ltd, Godfrey Gabriel, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam. Waliokaa (kulia) ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Mary Mniwasa (wa pili kulia waliosimama ni Mwanasheria wa Kampuni NMB, Mwantum Salim na (kushoto) ni Mwanasheria wa Kampuni ya Orbit Security, Derick Allard.
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia)  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Orbit Security Co. Ltd, Godfrey Gabriel, wakionesha Nyaraka baada ya kusainiana mkataba wa benki ya NMB kuwa Wakala wa Madalali wa Soko la Hisa na  wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam.  (kulia) ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Mary Mniwasa na (kushoto) ni Afisa wa benki ya NMB
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia)  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Orbit Security Co. Ltd, Godfrey Gabriel, wakibadilishana Nyaraka baada ya kusainiana mkataba wa benki ya NMB kuwa Wakala wa Madalali wa Soko la Hisa na  wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam.  (kulia) ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Mary Mniwasa na (kushoto) ni Afisa wa benki ya NMB
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kusaini mkataba baina na Benki ya NMB na Orbit Security, iliyofanyika katika Ukumbi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  Orbit Security, Godfrey Gabriel, na Afisa w benki ya NMB.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Orbit Security Co. Ltd,   Godfrey Gabriel, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kusaini mkataba baina na Benki ya NMB na Orbit Security, iliyofanyika katika Ukumbi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Mary Mniwasa
Sehemu ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa benki ya NMB wakifuatilia kilichokuwa kikifanyka ukumbini hapo.
Picha za pamoja baada ya kukamilika kwa hafla hiyo.

 Sehemu ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa benki ya NMB wakifuatilia kilichokuwa kikifanyka ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.